JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 13, 2025 at 01:35 PM
Je, ni sahihi kwa Mgombea kutoa fedha, mahitaji ya kijamii au misaada mingine kwa wapiga kura? Ni sehemu ya Kampeni au mbinu za kushawishi Wapigakura kinyume cha maadili ya Uchaguzi? Sheria inasemaje? Jamii ina uelewa? Kuelewa masuala haya kutamwezesha kila Mwananchi kufanya maamuzi sahihi na kushiriki katika uchaguzi kwa uelewa mpana Usikose kushiriki katika mjadala huu muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu ili kujifunza au kutoa maoni yako, leo, Februari 13, 2025, kuanzia saa 12:00 jioni hadi 2:00 usiku, kupitia XSpaces ya JamiiForums Kujiunga, bofya https://twitter.com/i/spaces/1ZkKzYMNvbDxv
👍 😢 😮 5

Comments