JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 13, 2025 at 02:32 PM
DEMOKRASIA: Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Huru na wa Haki Bulaya amesema "Tundu Lissu anao uwezo wa kukiongoza Chama cha CHADEMA na kukifikisha kwenye Demokrasia ya kweli" Ameyasema hayo akiwa Bungeni leo, Februari 13, 2025 wakati akichangia Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Jijini Dodoma Soma https://jamii.app/UwezoLissuCHADEMA
👍 😂 ❤️ 🙏 12

Comments