tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
February 13, 2025 at 11:44 AM
*Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi alipowasili katika Uwanja wa Changamani uliopo Jijini Dodoma, panapofanyika hafla ya utiaji saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma leo Februari 13, 2025.* 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/p/DGAu8YBogNo/?igsh=OGZ4cnl2ZGk0dXZr
👍 4

Comments