tbc_online WhatsApp Channel

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

tbc_online
tbc_online
6/9/2025, 4:00:31 PM

*Meneja wa Habari wa Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe, amesema kuwa kama matakwa yao matatu hayatafanyiwa kazi kwa haraka, klabu hiyo haitashiriki mchezo namba 184, mechi zote mbili zilizobaki za Ligi Kuu, wala Ligi Kuu ya msimu ujao.* *Amesema pia hawatakubali kukatwa nusu pointi yao hasa kwa kuzingatia kwamba wanaongoza ligi kutokana na pointi walizopata kwa jasho jingi* https://www.instagram.com/reel/DKr2Pwsi1uo/?igsh=bmZtdmg1dHNvcWV1

๐Ÿ‘ ๐Ÿ’š ๐Ÿ˜‚ โค โค๏ธ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿธ ๐Ÿ‘Ž ๐Ÿ–• ๐Ÿ—‘๏ธ 17
Image
tbc_online
tbc_online
6/9/2025, 10:56:42 AM

*Uongozi wa Klabu ya Yanga umesisitiza kuwa msimamo wa klabu ni kutoshiriki mchezo namba 184 uliopangwa kufanyika Juni 15, 2025 mpaka pale matakwa yao yatakapotimizwa.* ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ https://www.instagram.com/p/DKrW1SuvXTG/?igsh=dzJuMHV2cmg4ZDly

๐Ÿ˜‚ ๐Ÿธ ๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ˜ญ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ–• ๐Ÿ˜ฎ ๐Ÿ™ 32
Image
tbc_online
tbc_online
6/9/2025, 5:48:23 PM

*Manchester City wamemtambulisha rasmi Rayan Aรฏt-Nouri kama mchezaji wao mpya, ambapo beki huyo wa kushoto amesaini mkataba wa miaka mitano akitokea Wolverhampton* https://www.instagram.com/p/DKsF4B7vNCS/?img_index=2&igsh=MXBkdXJmbG1sanhjeQ==

โค๏ธ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ”ฅ 7
Image
tbc_online
tbc_online
6/9/2025, 4:25:18 PM

https://www.youtube.com/live/sismbckjJR0?si=dC8bBwUsPBfErwk6

๐Ÿ‘ 1
tbc_online
tbc_online
6/9/2025, 10:23:07 AM

https://www.youtube.com/live/uuT3cCEiLjw?si=pga40irbFS31JIx2

๐Ÿ‘ 1
tbc_online
tbc_online
6/9/2025, 5:42:57 PM

*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasili Beijing, China Juni 9, 2025 kwa ziara ya kikazi ambako anaongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa kufuatilia utekelezaji wa maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC Coordinators Meeting). Mkutano huo unatarajiwa kufanyika kuanzia Juni 11 hadi 12, 2025.* https://www.instagram.com/p/DKsFXMevX1l/?igsh=cThxamJlZHluMHo0

Image
tbc_online
tbc_online
6/10/2025, 2:51:33 AM

*Yaliyomo katika kurasa za mbele za magazeti leo Juni 10, 2025* ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ https://www.instagram.com/p/DKtD71VPzXn/?igsh=ZGs1eHozdW96dTN2

โœ… โค๏ธ 2
Image
tbc_online
tbc_online
6/9/2025, 7:07:01 PM

https://www.youtube.com/live/aAJ2uwJGWeo?si=LQf_BKDEKVDuPaW5

๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ 2
tbc_online
tbc_online
6/9/2025, 10:31:43 AM

*Mwenyekiti wa Mawakala Wazawa wa Utalii Tanzania (TLTO) Samuel Diah ameahidi mawakala hao kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuhakikisha wanawakumbusha na kuwahimiza wenzao kulipa kodi kwa wakati.* ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ https://www.instagram.com/p/DKrS1NVA-ZV/?igsh=Njc1M282ZDk4bnBn

โ˜ โค๏ธ ๐Ÿ‘ 3
Image
tbc_online
tbc_online
6/9/2025, 10:07:45 AM

*Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa ufafanuzi kuhusu kanuni za matumizi ya fedha za kigeni za mwaka 2025, ikieleza kuwa malipo ya bidhaa na huduma kati ya wakazi na wageni wakiwemo watalii, yanaweza kufanyika kwa kutumia fedha za kigeni.* ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ https://www.instagram.com/p/DKrRSBRPglG/?igsh=MW1vdHA1YmkyeGFmaA==

โค๏ธ 1
Image
Link copied to clipboard!