tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
February 13, 2025 at 11:52 AM
*Kwenye picha ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabuni (Kushoto) na Naibu Waziri wa wizara hiyo Hamis Mwinjuma, wakiteta jambo katika Uwanja wa Changamani Jijini Dodoma inapofanyika hafla ya utiaji saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma leo Februari 13,2025.* 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/p/DGAw1hToNJ2/?igsh=ZDdsYXkxeWFlbm9l
🙏 👍 ❤️ 😂 7

Comments