JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 13, 2025 at 04:20 PM
Wakili (LHRC), William Maduhu amesema Mwaka 2020, TAKUKURU iliwakamata baadhi ya Wagombea kwa kuwa na dalili za kutoa #rushwa, baadaye Hayati Rais Magufuli akasema mhusika aliyekamatwa alikuwa na sherehe ya kuzaliwa, hiyo ikachangia TAKUKURU kumuachia mtuhumiwa aliyekamatwa. Imekuwa ikionekana Wanasiasa wana nguvu ya kupindisha vitu vinavyoashiria suala la Rushwa ” Ameongeza kwa kusema eneo la rushwa ni suala gumu kwa kuwa kuna malalamiko mengi na matukio ya zawadi kutolewa kwa wapigakura lakini bado TAKUKURU imekuwa haichukui hatua na ikitokea wametoa tamko la kuwakamata watuhumiwa wa rushwa huwezi kuona nini kinaendelea baada ya hapo Wakili Maduhu amesema “Nadhani ni vizuri TAKUKURU wakasema kwanini wanaonekana kutokuwa na Meno makali dhidi ya Wanasiasa au wana hofu kuwa wanapoingia Madarakani wanaweza kuwa mabosi wao”
👍 😂 ❤️ 🙏 6

Comments