JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 13, 2025 at 04:34 PM
Akichangia katika mjadala wa "Kuelekea Uchaguzi, Tunatofautishaje Zawadi na Rushwa?", Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma (TAKUKURU), Joseph Kasongwa amesema “Tunapopokea tuhuma zozote za Rushwa iwe wakati au kabla ya Uchaguzi, inapobainika hivyo suala hilo lazima tulifikishe Mahakamani” Amesema kuhusu suala la kutangaza Watuhumiwa wa Rushwa kwanza huwezi kutangaza kila hatua za Kimahakama na kuna kulinda Heshima ya Mtu kwa kuwa hizo bado ni tuhuma na huwa kuna mchakato wa uchunguzi Ameongeza kuwa Sheria ya Rushwa haijatoa nafasi kwa TAKUKURU kumchukulia Mtu hatua za Kinidhamu hivyo inapotokea chochote huwa sheria inafuatwa kwa kufika Mahakamani na sio kumchukulia Mtu hatua za kinidhamu
❤️ 👍 😂 3

Comments