tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
February 13, 2025 at 12:52 PM
*Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mtwara inafanya majaribio ya kuongeza uimara wa barabara za lami kupitia teknolojia mpya ya kuweka gundi maalumu kwenye barabara za lami, ambayo itakuwa suluhisho la uharibifu unaosababishwa na maji kwenye barabara.* 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/p/DGAy7irJn9B/?igsh=MWZkdDQ5M296Mjk0aQ==
👍 ❤️ 😢 8

Comments