JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 13, 2025 at 04:52 PM
Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma (TAKUKURU), Joseph Kasongwa, amesisitiza Elimu kutolewa kwa Wananchi ili wanapotoa taarifa kuhusu Rushwa basi wawajibike pia kwa kutoa ushirikiano zaidi Amesema “Sheria ya Rushwa kwa sasa imetuongezea wigo mpana sana, tutafika hadi kwenye Michezo, Bonanza na hata kwenye masuala ya urembo mfano mashindano ya Miss Tanzania” Amesema “Tunapopokea tuhuma kwetu hiyo ni sehemu ya Jinai, jambo la msingi ni kuona kama kuna nia ovu inayoambatana na zawadi hiyo. Lakini kama inatoka kama Zawadi bila kuwa na nia yoyote nyuma yake hiyo inakuwa haina madhara”
❤️ 👍 🙏 3

Comments