
tbc_online
February 13, 2025 at 01:24 PM
*Afisa Ardhi Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Halima Iddi amewataka wadaiwa sugu wa kodi ya pango la ardhi mkoani Mwanza kulipa deni hilo ndani ya siku 14 kuanzia leo Februari 13, 2025, kabla Serikali haijawachukulia hatua za kisheria.*
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DGA7R8_OUqP/?igsh=MWYxcmQ4bHV4b3hkdg==
❤️
😂
2