
tbc_online
February 13, 2025 at 01:41 PM
*Mbunge wa Mwibara wilayani Bunda, Mara Charles Kajege, ameshauri Serikali kuhakikisha wafanyakazi watakaokuwa kwenye Mamlaka mpya ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa wenye uwezo wa kufanya kazi mbele ya wakati na wajuzi wa lugha.*
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/reel/DGA9D50CcMp/?igsh=MXM4ZjQ3amR1YTVkaA==
❤️
1