tbc_online
                                
                                    
                                        
                                    
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                February 13, 2025 at 02:04 PM
                               
                            
                        
                            *Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya, leo bungeni Jijini Dodoma amepongeza uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kuendesha uchaguzi wa kidemokrasia na pia akampongeza aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa kukubali kushindwa.*
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/reel/DGA_RDCKceW/?igsh=MWg0cW93bzg2c2Q4aQ==
                        
                    
                    
                    
                    
                    
                                    
                                        
                                            👍
                                        
                                    
                                    
                                        1