JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 13, 2025 at 05:23 PM
Akichangia katika mjadala wa "Kuelekea Uchaguzi, Tunatofautishaje Zawadi na Rushwa?", Assenga Kimaro (Mdau) amesema “Suala sio zawadi, bali kitu kinachotolewa kwa Wananchi wakati au kuelekea katika Uchaguzi kwa asilimia zote hiyo ni Rushwa, sababu Wananchi wao hawatoi ila wanapokea kutoka kwa Wagombea au Watiania” Amesisitiza “Tunasema ni zawadi kwa Wananchi, Mgombea anawapongeza nini Wananchi? Hiyo ni Rushwa ila tu inatumika katika jina tofauti”
❤️ 👍 😂 4

Comments