JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 13, 2025 at 05:31 PM
Wakili (LHRC) William Maduhu amesema “Pamoja na yote kuna kawaida ambayo inachangia Rushwa, Wananchi tumewageuza Wabunge kuwa ATM” Amechangia mjadala huu kwa kusema kuwa Mtu akiwa na shida anamfuata Mbunge kumuomba msaada, hivyo Mwananchi wa aina hiyo akipewa zawadi baadaye lazima ashawishike
❤️ 👍 4

Comments