tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
February 13, 2025 at 02:24 PM
*Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake ilikuwa mingi ambayo haikufanikiwa hadi pale Rais Samia Suluhu Hassan alipoingilia ndipo likawezekana kufanyika.* 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/p/DGBCF48ha7B/?igsh=MW91YTEzaDgxenk5bA==
👍 🙏 😂 7

Comments