tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
February 13, 2025 at 04:30 PM
*Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema Hafla iliyofanyika leo Februari 13, 2025 ya utiaji saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa uwanja wa Mpira Dodoma ni miongoni mwa matukio yanayosababisha sekta ya michezo nchini imwite Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ni Mwanamichezo namba moja* 👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/p/DGBQ2GVyeZJ/?igsh=bThhNTUzenM2Zzcy
👍 🇹🇿 😂 4

Comments