
tbc_online
February 13, 2025 at 05:04 PM
*Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi ameeleza historia ya uhusiano mkubwa uliopo kati ya Mkoa wa Dodoma na Nchi ya Italia enzi za mababu akitaja zao la zabibu na Kanisa Kuu la Katoloki kuhusika*
👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/reel/DGBUVN7SDkP/?igsh=MW5zeTVqZjcwcHNkdg==
❤️
😮
4