
tbc_online
February 13, 2025 at 05:11 PM
*Klabu ya soka ya Simba SC, imetozwa faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la walinzi wake kuwazuia walinzi wa uwanjani (stewards) kumkamata shabiki aliyekuwa akitaka kuingia uwanjani baada ya mchezo wao dhidi ya Singida Black Stars uliopigwa Desemba 28, 2024*
👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DGBVYjCybQB/?igsh=MW9oZjE3Y25jYWt2aw==
😂
😢
❤️
👍
😮
8