tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
February 13, 2025 at 05:25 PM
*Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Tanzania (PURA) imeendelea kuhamasisha wawekezaji mbalimbali duniani kushiriki katika Duru ya Tano ya Kunadi Vitalu vya utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia katika Bahari Kuu ya Hindi na Nchi Kavu itakayozinduliwa mwezi Machi mwaka huu.* 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/p/DGBW8s_SxzK/?igsh=MTlrbHU4eXAzdWdxZg==
🙏 1

Comments