tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
February 13, 2025 at 05:58 PM
*Makatibu Wakuu wanaosimamia Sekta ya Nishati, Petroli na Madini katika Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana jijini Arusha katika mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Nishati, Petroli na Madini la EAC kujadili masuala muhimu ya pamoja yanayohusu sekta hizo* 👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/p/DGBa5WTyba_/?igsh=cW9raHdxb2VmcWRp
❤️ 👍 😢 🙏 5

Comments