
tbc_online
February 13, 2025 at 06:03 PM
*Ikiwa leo ni maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani, mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Anna Mwasyoke, ameeleza namna redio ilivyomuinua yeye kama mwanamke na wanawake kwa ujumla, kwani imekuwa ni sehemu yake kubwa ya kujipatia kipato.*
*TAZAMA*
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/reel/DGBZqP3CHxq/?igsh=OWNlaTFtZGQxeDFr
👍
❤️
🙏
😁
9