
tbc_online
February 13, 2025 at 06:34 PM
*Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, ameagiza tathmini ifanyike kubaini maeneo ambayo wanafunzi wanalazimika kusoma chini au kukaa chini ya miti huku na kuwataka Wakurugenzi wa Halmashauri na wataalamu wao kuandika barua za kujieleza juu ya hali hiyo*
👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DGBe07HzzK0/?igsh=MTk2OHFjZmp5azNn
👍
❤️
🇹🇿
👏
😢
😮
9