
tbc_online
February 15, 2025 at 10:31 AM
*Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amekutana na wawakilishi wa Kampuni ya Straling Holding kutoka Abu Dhabi ili kujadili ujenzi wa mji mpya wa kisasa katika Jiji la Dar es Salaam.*
*Soma zaidi*
👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DGFxH_LvaNE/?igsh=d2ZnaW5mdTVieWJh
❤️
👍
😮
😳
5