tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
February 15, 2025 at 01:05 PM
*Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, ameipa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni siku mbili kuvunja sehemu ya ukuta wa kiwanja namba P18618 kilichopo Kigogo, Dar es Salaam, baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za umiliki halali* 👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/reel/DGGCnC_Kepe/?igsh=d3Z1ZWd4ZWZyOTQ5
❤️ 👍 😮 4

Comments