Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

344.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
February 9, 2025 at 08:36 PM
HABARI PICHA - KIBAMBA, DAR ES SALAAM Matukio mbalimbali ni Wanautume wa Radio Maria wakitoa neno la Shukrani wa wanaparokia ya Mtakatifu Vincent wa Paulo kwa kuuwezesha utume wa Radio Maria Tanzania kwa mwaka 2024. Misa Takatifu imeadhimishwa na Padre Martin Methew MCBS, Paroko Msaidizi wa Parokia hiyo. Wanautume hawa wakiongozwa na Emma Ladislaus Mahengo, ambaye ni Mhamasishaji Mkuu wa Radio Maria Tanzania, ameambatana na wageni kutoka Nchi mbalimbali za Afrika pamoja na Mtafutaji fedha kutoka ofisi za Radio Maria Afrika. www.radiomaria.co.tz #radiomariatz #injilishakwaharaka #mahujajikatikamatumaini
🙏 ❤️ 👍 😢 😮 🎉 👏 41

Comments