Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
February 9, 2025 at 08:40 PM
Emma Ladislaus Mahengo, Mhamasishaji Mkuu wa Radio Maria Tanzania (Dada hamasa) wakati akiwashukuru wanaparokia ya Mtakatifu Vincent wa Paulo Kibamba, Jimbo Kuu la Dar es Salaam kwa kuuwezesha utume wa Radio Maria Tanzania kwa mwaka 2024. Leo Februari 9, 2025 #radiomariatz #injilishakwaharaka #mahujajikatikamatumaini
🙏 ❤️ 👍 😀 😂 😢 😮 🥰 42

Comments