Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
February 10, 2025 at 12:31 AM
KUMBUKUMBU YA KUZALIWA RAPHAEL MSOFFE ▪︎ Heri ya kumbukizi ya siku mfanano ya kuzaliwa kwako Raphael Msoffe, Mhasibu wa Radio Maria Tanzania. Umefanyika baraka kwetu, nasi tunakuombea heri katika maisha yako, Mama Maria azidi kukubeba, furahia siku yako. ▪︎ Wapendwa karibuni tumtakie heri na matashi mema Raphael anapofanya kumbukizi ya siku mfanano ya kuzaliwa kwake. www.radiomaria.co.tz #radiomariatz #happybirthday #mahujajikatikamatumaini #injilishakwaharaka
❤️ 🙏 🎂 🎉 🥳 👍 😢 35

Comments