Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
February 11, 2025 at 05:47 AM
Karibu tuinjilishe Pamoja kwa kuuwezesha Utume wa Radio Maria Tanzania. Leo ni siku ambayo Mama Bikira Maria, Bibi yetu wa Lurdi anatualika kwa ndani kabisa kuwaombea wagonjwa wetu, sadaka zetu na majitoleo yetu ya leo yaende sambamba na sala ya kuombea wagonjwa. Unaweza kuwa wewe mwenyewe ni mgonjwa, familia yako, ndugu jamaa na Marafiki. Njoo tuinjilishe pamoja. #injilishakwaharaka #mahujajikatikamatumaini #radiomariatanzania
🙏 ❤️ 👍 😂 🥰 43

Comments