Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

344.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
February 12, 2025 at 07:02 PM
HABARI PICHA, UZINDUZI WA GROTTO, PAROKIA YA KIPUNGUNI - DAR ES SALAAM ▪︎ Picha mbalimbali ni wakati wa uzinduzi wa Grotto ya Mama Bikira Maria wa Neema katika Parokia ya Mtakatifu Thoma wa Akwino, Kipunguni B - Jimbo Kuu la Dar es Salaam. ▪︎ Uzinduzi umeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. ▪︎ Kutazama picha zaidi tafadhali tembelea katika ukurasa wetu wa Facebook kupitia kiunga (Link) Ifuatayo 👇🏻👇🏻👇🏻 https://www.facebook.com/share/p/15JiQHaYAP/ . . www.radiomaria.co.tz
🙏 ❤️ 👍 42

Comments