
Radio Maria Tanzania
February 13, 2025 at 04:40 AM
Happy World Radio Day 2025
Tanzania inaungana na Ulimwengu mzima kuadhimisha siku ya Redio Duniani, ambayo iliasisiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi Elimu na Utamaduni (UNESCO) mwaka 2011 na kutangazwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2013.
Unasikiliza Radio Maria Tanzania kwa masafa yapi..!?
Happy World Radio Day Feb 13 2025
"Radio na Mabadiliko ya Tabianchi"
www.radiomaria.co.tz
#radiomariatz
🙏
❤️
👍
🇹🇿
🫀
🇨🇩
🇲🇬
🎉
🎧
👏
91