
TCRA TANZANIA
January 18, 2025 at 11:30 AM
📌Kikao na Wadau wa Usafirishaji Vifurushi na Vipeto 📍Zanzibar 🗓️16/1/2025
Meneja wa ofisi ya TCRA Zanzibar, Bi. Esuvatie Masinga pamoja na Maafisa wengine wa TCRA, katika kikao cha pamoja na Watoa Huduma za Usafirishaji wa Vifurishi na Vipeto kutoka Zanzibar, wenye leseni ya TCRA. Kikao hicho kimejadili uboreshaji wa Sekta ya Posta inayokua kwa kasi na kuchangia kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa Kidijiti unaotegemea TEHAMA.
Kikao hicho ni mwendelezo wa utamaduni wa TCRA kukutana wa wadau wenye leseni za huduma za Mawasiliano, ili kuhakikisha inatengeneza mazingira rafiki yanayochagiza upatikanaji wa huduma bora za Mawasiliano kwa watu wote nchini.
#sektayamawasilianotanzania #tcratz #sektyaposta #tumachapkwausalama #nirahisisanakuwasalamamtandaoni
👍
2