
TCRA TANZANIA
254.2K subscribers
Verified ChannelAbout TCRA TANZANIA
Karibu kwenye Ukurasa wetu rasmi ya WhatsApp upate Taarifa|Dondoo|Makala kuhusu huduma na Bidhaa za mawasiliano Tanzania. Simu: 0800008272 , Baruapepe: [email protected], Tovuti: www.tcra.go.tz Welcome to our Official WhatsApp channel for PublicNotices|Tips|News on communication services and products in Tanzania. T: 0800008272 , E: [email protected] , W: www.tcra.go.tz #creatingalevelplayingfield
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Tupo Live! MATANGAZO MUBASHARA: MASHINDANO YA HISABATI YA KIMATAIFA (PAMO 2025) 🗓️: 20 Juni, 2025 🕕: Saa 12 Jioni 📺: YouTube @tcra_tanzania https://www.youtube.com/live/ATWb0AsnzKk?si=ZnmaWCcxu1fiUuic Mtangazaji: Ben Mwanantala Wageni: 🎯 Rachel Lazaro Nyhasi - Mshindi wa Medali 2 - Benjamin Mkapa Sekondari 🎯 Numan Benhajj Masoud - Mshindi wa Medali 1 - Shamsiye Boys Sekondari 🎯 Dkt. Saidi Simba - Mwenyekiti CHAHITA


Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Mamlaka ya Mawasiliano TCRA Dkt. Philip Filikunjombe akizungumza na Ujumbe wa Bodi ya wakurugenzi na Wafanyakazi wa Tume ya Mawasiliano Uganda (UCC) waliotembelea ofisi za TCRA tarehe 20 Juni 2025 , jijini Dar Es Salaam kwa ziara ya siku moja. Ujumbe huo uliongozwa na mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Charity Mulenga (katikati kwenye picha ya pamoja) ulipata fursa kujifunza juu ya Mfumo wa Leseni wa TCRA, Usimamizi wa Mifumo ya Mawasiliano na kutembelea Maabara ya Upimaji wa vifaa vya Kielektroniki. Ujumbe huo umefika TCRA kubadilishana ujuzi kuhusu masuala mbalimbali ya kiufundi katika usimamizi wa Sekta ya Mawasiliano. Huu ni mwendelezo wa ziara mbalimbali za mafunzo, ambazo zimekuwa zikifanyika na mamlaka za mawasiliano mbalinbali kuja TCRA, kubadilishana uzoefu wa jinsi bora ya kusimamia Sekta ya Mawasiliano. Mapema mwaka huu ujumbe kutoka Mamlaka za Usimamizi wa Mawasiliano kutoka nchi za Kenya, Uganda, Mali, Comoro na Burundi walitembelea TCRA. #tcratz #mikutanonawadauwamawasiliano #studyvisit #tanzania


Usikose Kutufuatilia! MATANGAZO MUBASHARA: MASHINDANO YA HISABATI YA KIMATAIFA (PAMO 2025) MADA: 🗓️: 20 Juni, 2025 🕕: Saa 12 Jioni 📺: YouTube @tcra_tanzania https://www.youtube.com/live/ATWb0AsnzKk?si=ZnmaWCcxu1fiUuic Mtangazaji: Ben Mwanantala Wageni: 🎯 Rachel Lazaro Nyhasi - Mshindi wa Medali 2 - Benjamin Mkapa Sekondari 🎯 Numan Benhajj Masoud - Mshindi wa Medali 1 - Shamsiye Boys Sekondari 🎯 Dkt. Saidi Simba - Mwenyekiti CHAHITA

📌TUPO LIVE kupitia Chaneli ya YouTube ya TCRA @tcra_tanzania📌 🗓️: 13 Juni, 2025 🕕: Saa 12 Jioni 📺: YouTube @tcra_tanzania Bofya link au tembelea chaneli yetu ya YouTube, kufuatilia mubashara mahojiano kuhusu “Matumizi ya Akili Unde (AI) Katika Zama za Kidijiti” pamoja na kalebu Gwalugano 👉 https://youtube.com/live/BsE-ojnkWO4?feature=share #tcratz #futadeletekabisa #sambazamchongosiouongo #nirahisisana #sitapeliki


📢 FUTA DELETE KABISA 📌Kuwa sehemu ya kuhamasisha matumizi sahihi na salama ya mtandao. Kumbuka; Usalama Mtandaoni unaanza na mtu binafsi (wewe 🫵) #futadeletekabisa🚮; Pamoja kwa Mtandao Salaama. #sambazamchongonasiouongo #tcratz #elimukwaumma #nirahisisanakuwasalamamtandaoni #sitapeliki #togetherforbetterinternet


📌TAARIFA KWA UMMA📌 Taarifa kuhusu maombi ya leseni chini ya mfumo wa leseni kutaniko. - Leseni ya Utangazaji kwa njia ya Redio (Kiwilaya) - leseni ya Mifumo Tumizi (Kitaifa) #tcratz #tcraPN #tcrataarifa #telecommunication #hudumazasimu #TEHAMA


📌PUBLIC NOTICE📌 Application for license under the Converged Licensing Framework - District Content Radio Broadcasting (FTA) - National Application Service #tcratz #tcraPN #tcrataarifa #telecommunication #hudumazasimu #TEHAMA


📌TUPO LIVE kupitia Chaneli ya YouTube ya TCRA @tcra_tanzania📌 🗓️: 13 Juni, 2025 🕕: Saa 12 Jioni 📺: YouTube @tcra_tanzania Bofya link au tembelea chaneli yetu ya YouTube, kufuatilia mubashara mahojiano kuhusu “Matumizi ya Akili Unde (AI) Katika Zama za Kidijiti” pamoja na kalebu Gwalugano 👉 https://youtube.com/live/BsE-ojnkWO4?feature=share #tcratz #futadeletekabisa #sambazamchongosiouongo #nirahisisana #sitapeliki


Meneja wa Huduma za Utangazaji, Mhandisi Andrew Kisaka, akiongoza kikao cha mashauriano na Watoa Huduma za Utangazaji wenye leseni za kitaifa, kilichofanya tarehe 12 Juni 2025 katika ukumbi wa TCRA, Mawasiliano Towers, Dar es Salaam. Kikao hicho kililenga kujadili maboresho ya uanuai wa maudhui (content diversity) pamoja na ujio wa teknolojia ya kisasa ya Utangazaji wa Redio kwa njia ya kidijiti (Digital Sound Broadcasting – DSB). TCRA tayari imefungua milango kwa watoa huduma za usambazaji wa maudhui ya redio kwa njia ya DSB katika mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya na Mwanza. Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa kuwa na huduma hii ya teknolojia ya dijitali ya redio ya T-DAB+ na DRM30. 📷 https://www.instagram.com/p/DK0IvpwM_lJ/?img_index=9 #tcratz #localcontent #utangazaji #DSB #tanzania #TEHAMA #contentdiversity

📢 FUTA DELETE KABISA 📌Kuwa sehemu ya kuhamasisha matumizi sahihi na salama ya mtandao. Kumbuka; Usalama Mtandaoni unaanza na mtu binafsi (wewe 🫵) #futadeletekabisa🚮; Pamoja kwa Mtandao Salaama. #sambazamchongonasiouongo #tcratz #elimukwaumma #nirahisisanakuwasalamamtandaoni #sitapeliki #togetherforbetterinternet
