
TCRA TANZANIA
January 19, 2025 at 06:54 AM
“Digital Clubs Portal” Jukwaa mahususi kwaajili ya wanafunzi wa ngazi zote za elimu, na hata wasio wanafunzi ambao wanapenda kujifunza masomo yanayohusisha Teknolojia na Ubunifu.
📌Kufahamu zaidi kuhusu Digital Clubs Portal tembelea https://digitalclubs.tz
#tcratz #stem #ai #math #engineering #science #technology #elimukwaumma #mtandaonifursabakisalama #digitalclubs
👍
2