
CRDB Bank Plc
February 6, 2025 at 01:26 PM
Kwenye Kili Marathon hii na wewe umo!🏃♂️🏃♀️
Tunakukaribisha kwenye CRDB 5KM Fun Run tarehe 23, Februari hii pale Moshi. Si umeona chapa letu linavyovutia! Sikilizia hapa hapa kwa michongo inayokuja kuhusu CRDB 5KM Fun Run.
#swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
❤️
🙏
😂
😮
18