CRDB Bank Plc WhatsApp Channel

CRDB Bank Plc

291.9K subscribers

Verified Channel

About CRDB Bank Plc

Jiunge na channel yetu rasmi ya WhatsApp upate taarifa, ofa na mengineyo yanayojiri kutoka kwetu.

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/21/2025, 12:44:38 PM

Tuna kumi yako hapa! Habari ya mjini ni 10% ya temboCard, ukipita zako KFC au Pizza Hut weekend kama hii unadaka vitamu na ukilipa kwa Tembocard basi shwaa sisi tunakurejeshea 10% unakua umespend to save. Ofa hii ipo kila weekend na kwa KFC na Pizza Hut zote. Ila Maswahiba zako tupo na wewe live ukipita maeneo haya utatukuta Jumamosi hii - KFC Diamond Jubilee - KFC Masaki - KFC Orxy kariakoo Jumapili nayo Tumo - KFC SGR - KFC Orxy Morocco #tembocardnishwaa #crdbbank #tunakusikiliza

Post image
๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜ข ๐Ÿ™ 11
Image
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/21/2025, 6:36:04 AM

Ila Mwadawa๐Ÿ˜‚ Gari analitaka, kaomba aonyeshwe jinsi a kulipata. Baada ya kupata desa anajikuta kauzu anataka kumchomea @zaijiwenongwa. Haya jamani kama na wewe unataka Ndinga mpya kama Zai, fanya miamala kwa SimBanking App au *150*03# iwe Luku, maji, ving'amuzi na miamala mingine mingi. #simbankinghumutu #crdbbank #tunakusikiliza

๐Ÿ‘ ๐Ÿ™ โค๏ธ 11
Video
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/21/2025, 5:32:41 AM

Swahiba, umejiandaa au? ๐Ÿ›ป Basi kama unalitaka utalipata tu Swahiba, endelea kufanya malipo kwa TemboCard VISA๐Ÿ’ณ yako, iwe Credit, Debit au Pre Paid kuingia kwenye droo ya. Omba TemboCard Credit, Debit au Pre Paid tawini, kwa Wakala au kwa SimBanking App Kama huna akaunti ya CRDB omba TemboCard Visa yako kupitia link hii https://crdbbank.co.tz/sw/campaign/prepaid-card #crdbtembocardshwaaa #crdbbank #tunakusikiliza

๐Ÿ‘ โค๏ธ 3
Video
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/20/2025, 2:11:29 PM

Tumepanda mbegu bora Muhimbili ๐Ÿ™ Jana ilikuwa ni siku njema ambapo Mkurugenzi Mtendaji wetu ndugu Abdulmajid Nsekela sambamba na viongozi wengine wa benki walitembelea hospitali ya Muhimbili wakiambatana na balozi wa Junior Jumbo, Paula Kajala a.k.a Mama Amara ambaye alipata wasaa wa kukutana na kina mama wenzake waliobarikiwa kupata watoto wazuri, wadogo zake Amara. Ujumbe wa Mama Amara kwa kina mama wenzake waliojifungua ulikuwa ni umuhimu wa kuwaandalia watoto wao kesho iliyo bora kupitia akaunti ya Junior Jumbo ambayo inawawezesha wazazi kuweka akiba ya watoto wao ili wapate mahitaji yao muhimu kama elimu hata ikitokea hawapo, sambamba na kuwafundisha watoto umuhimu wa kujiweka akiba tangu wakiwa wadogo. Tembelea tawi lolote la CRDB, kufungua akaunti ya Junior Jumbo kwa kesho bora ya mwanao. #swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza

โค๏ธ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜ฎ 9
Video
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/20/2025, 12:06:41 PM

Ijumaa nyingine ya Uwekezaji Jiunge nasi katika Mjadala wa Masoko ya Mitaji, Uwekezaji na Uchumi jioni ya leo kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 1:00 usiku. Jiunge kupitia link hii https://events.teams.microsoft.com/event/17936e51-1ac5-451f-b9d1-5e648bb9ab6e@4fc60296-e19d-4bd4-8ea8-96cbf963ed25 #crdbbank #tunakusikiliza

Post image
๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ™ 7
Image
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/14/2025, 5:15:18 AM

Mfanyakazi wako bora wa kidijitali Chat naye WhatsApp Chat naye kwenye tovuti yetu au tembelea Support ya tovuti yetu Sevu namba ya Elle ya WhatsApp 0714197700 au tembelea www.crdbbank.co.tz #crdbbank #tunakusikiliza

๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜ฎ 7
Video
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/15/2025, 3:48:10 AM

Unachopata Mtolee Mungu sadaka Tena kwa urahisi kupitia SimBanking App ukiwa mahali popote ili uendelee kubarikiwa. Piga *150*03# au fungua SimBanking App Chagua 3 SADAKA Chagua 2 Toa Sadaka Chagua 1 Binafsi Weka namba husika ya Nyumba ya Ibada kisha endelea #benkinisimbanking #crdbbank #tunakusikiliza

๐Ÿ‘ ๐Ÿ™ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜ฎ 6
Video
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/13/2025, 9:43:04 AM

Ijumaa nyingine ya Uwekezaji Jiunge nasi katika Mjadala wa Masoko ya Mitaji, Uwekezaji na Uchumi jioni ya leo kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 1:00 usiku. Jiunge kupitia link hii https://events.teams.microsoft.com/event/33baf215-6e24-4f16-bc98-1de82f20f87b@4fc60296-e19d-4bd4-8ea8-96cbf963ed25 #crdbbank #tunakusikiliza

Post image
๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜ข 18
Image
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/15/2025, 4:41:36 AM

Akina baba wanataka nini mwaka huu? ๐Ÿ‘จ๐Ÿพ Watumieni kwa SimBanking tu, hali ishakuwa sio. Heri ya siku ya akina baba duniani. #crdbbank #tunakusikiliza

๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™ โค๏ธ ๐Ÿ‘ 12
Video
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
6/13/2025, 6:08:02 AM

Maswahiba zenu wanasubiri majibu yenu! Endelea kufanya malipo kwa TemboCard VISA yako, iwe Credit, Debit au Pre Paid kuingia kwenye droo ya. Omba TemboCard Credit, Debit au Pre Paid tawini, kwa Wakala au kwa SimBanking App #crdbtembocardshwaaa #crdbbank #tunakusikiliza

Post image
๐Ÿ‘ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™ 8
Image
Link copied to clipboard!