CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

291.9K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
February 7, 2025 at 06:22 AM
Swahiba, tupo mtaani kwako 🏘️ Najua umeamka asubuhi ☀️umekutana na shangwe, mtaa umechangamka. Huu ni ule upendo ❤️tuliokwambia tunao kwako ndio maana tumekufuata hadi mtaani kwako na gari letu unaloliona hapo, na muda huu tumeanzia Kariakoo, kaa karibu na kurasa zetu mtandaoni nasi tutakupa mchongo unaoendelea na kwa nini tupo mtaani kwako maana na wewe umo kwenye michongo tuliyoandaa. #tupomtaanikwako #swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza
👍 ❤️ 6

Comments