TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
January 20, 2025 at 08:15 AM
📌POSTA🚚📦 Idadi ya wateja wa huduma ya usafirishaji wa vifurushi na vipeto imeongezeka kwa 20.6% kutoka 52,788 Septemba 2024 hadi wateja 63,666 Desemba 2024. Ongezeko hili ni sehemu ya matokeo chanya kushamiri kwa uchumi wa kidijiti, ambapo biashara mbalimbali zinafanyika kupitia mtandao na kutumwa kwa wahusika kupitia kampuni za usafirishaji wa vifurushi na vipeto. ✔️Kutazama kipindi kamili, tafadhali bofya link https://bit.ly/4arb81F ✔️Ripoti hii inapatikana kwenye tovuti ya TCRA, au kupitia kiunganisho https://bit.ly/4aiq2Y2 #tcratz #takwimuzamawasiliano #idadiyalainizasimutz #nirahisikuwasalamamtandaoni #nirahisisana
👍 ❤️ 🙏 9

Comments