CRDB Bank Plc
February 7, 2025 at 07:05 AM
Mitaa ya Kariakoo imetupokea kwa mahaba ya kutosha❤️🤗
Na hivi ndivyo shangwe lilivyokua katikati ya soko la kariakoo🏘️ ambapo Benki ya CRDB tumekuja kuamsha mitaa kupitia kampeni yetu ya Tupo Mtaani Kwako🏘️. Kila mtu, kila mtaa utafikiwa na michongo kibao na mazawadi kibao kutoka Benki ya CRDB. Itoshe kusema na wewe umo🫵🏼
#tupomtaanikwako
#swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
❤️
🙏
12