
TCRA TANZANIA
January 21, 2025 at 12:15 PM
Ongezeko la idadi ya laini za simu zinazotumika ni hatua muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii kupitia sekta ya mawasiliano.
TCRA inatoa wito kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano, kuhakiki usajili wa laini za simu kupitia *106# na kufika kwa mtoa huduma kufuta namba usizozifahamu ili kuendelea kuzuia utapeli mitandaoni.
✔️Kutazama kipindi kamili, tafadhali bofya link https://bit.ly/4arb81F
✔️Ripoti hii inapatikana kwenye tovuti ya TCRA, au kupitia kiunganisho https://bit.ly/4aiq2Y2
#tcratz #takwimuzamawasiliano #idadiyalainizasimutz #nirahisikuwasalamamtandaoni #nirahisisana
👍
😢
3