CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

291.9K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
February 9, 2025 at 11:06 AM
Akipasua puto 🎈Valentine hii, jua umekwisha Lipa Hapa ipo Mtaani kwako kukuokoa kwenye Valentine hii 🌹, kwa kuruhusu malipo ya wateja wa Mitandao yote na Benki zote kirahisi iwe kwa kuscan, kuweka namba ya mfanyabiashara au kupitia USSD. Ukiona Lipa Hapa, maliza bili kwa SimBanking App au piga *150 * 03 # BURE. #crdblipahapa #swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza
👍 ❤️ 😂 😢 29

Comments