TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
January 21, 2025 at 04:05 PM
Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta - Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Mwesigwa Felician akiwasilisha Ripoti ya Sekta ya Mawasiliano kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba-Desemba) kwa Wahariri, Waandishi Na Watangazaji wa Vyombo vya Habari, tarehe 21 januari 2025, Katika Ukumbi wa TMDA, Buzuruga, Jijini Mwanza. Wadau walipata nafasi ya kuuliza maswali kuhusu ripoti na kupata ufafanuzi wa kina uliowawezesha kufahamu mwenendo wa Sekta ya Mawasiliano nchini. #tcratz #takwimuzamawasiliano #iot #tcratz #elimukwaumma #nirahisisana #statistics #tanzania
❤️ 👍 🙏 7

Comments