TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

254.2K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
January 21, 2025 at 08:45 PM
Meneja wa Ofisi ya TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Imelda Salum Banali akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yalioulizwa na Wahariri, Waandishi na Watangazaji wa vyombo vya habari, katika semina kuhusu Ripoti ya Sekta ya Mawasiliano kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba - Desemba), iliyofanyika ukumbi wa TMDA, Buzuruga, Jijini Mwanza tarehe 21 januari 2025. #tcratz #takwimuzamawasiliano #iot #tcratz #elimukwaumma #nirahisisana #statistics #tanzania
👍 🙏 7

Comments