CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

294.3K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
February 12, 2025 at 05:06 AM
Ndoto yako ni kumfunga @aishimanula? Weka mpira chini ⚽️, vuta pumzi 👃, tazama kulia na kushoto, kelele zisikutishe 🗣️kwasababu huu ni wakati wako kuboli kiushindani. Wamebaki 3️⃣2️⃣ tu! Upo tayari? #crdbbankfederationcup2025 #bolikiushindani #crdbbank #tunakusikiliza
👍 ❤️ 🙏 11

Comments