TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
January 23, 2025 at 08:46 AM
📌Mkutano wa TCRA na ZPSEA📍Ofisi ya TCRA Zanzibar 🗓️22/1/2025 Ofisi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Zanzibar, ikiongozwa na Meneja wake Bi. Esuvatie Masinga, imefanya mkutano na wadau wa sekta ya Mawasiliano ambao ni Umoja wa Wamiliki wa Makampuni ya Ulinzi Zanzibar (ZPSEA). Katika mkutano huo, wadau wamepata elimu kuhusu umuhimu wa kuwa na Leseni ndogo za VHF/UHF kutoka TCRA kama takwa kisheria, kwa matumizi ya vifaa kama vile “Radio Call” kwenye utoaji wa huduma za Mawasiliano. #tcratz #elimukwaumma #lesenikidijitali #mtandaonifursabakisalama #nirahisisanakuwasalamamtandaoni.
👍 🙏 ❤️ 😢 😮 7

Comments