
CRDB Bank Plc
February 15, 2025 at 08:01 AM
Sawa tunajua Mzize hashikiki na wewe mwenyewe ukiangalia kwenye TV unakubali lakini kama una ndoto ya kumuweka mfukoni asifurukute basi nafasi yako ndio hii.
Wamebaki 3️⃣2️⃣, Upo tayari?
#crdbbankfederationcup2025
#crdbbank
#tunakusikiliza
❤️
👍
😂
4