
CRDB Bank Plc
February 15, 2025 at 11:32 AM
*Post 2*
Tukutane Mlimani City leo 👕
Kuna namna mbio za CRDB 5km Fun Run ndani ya Kili Marathon zitanoga sio kwasababu ya mazoezi uliyofanya ila ni kwasababu ya uzi uliovaa 👌
Kwa wana daslam ambao wameshalipia tukutane Mlimani City leo Jumamosi na kesho Jumapili kuanzia saa 4 asubuhi kuchukua jezi zetu.
#crdb5kmfunrun
#crdbbank
#tunakusikiliza
❤️
2