
CRDB Bank Plc
February 15, 2025 at 02:53 PM
Mitaa zaidi ya 30 tumeishaifikia
Tupo Mtaani kwako kukupa huduma kibao za kibenki, ukiyaona magari yetu sogea uongee na maswahiba wetu wa mauzo wakufungulie akaunti kama vile Hodari isiyo na makato, akaunti ya Al Barakah inayofuata misingi ya Shariah, na huduma nyingine kibao kama vile Lipa Hapa ya Biashara na zawadi za kumwaga.
#crdbbanktupomtaanikwako2025
#crdbbank
#tunakusikiliza
❤️
3