
TCRA TANZANIA
January 28, 2025 at 11:33 AM
📌Masafa na Huduma za Usafiri wa Treni
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetenga masafa ya huduma za usafiri wa treni kukidhi mahitaji ya treni za kisasa mpaka miaka kumi ijayo. Amesema hivyo Mwahandisi Mkuu TCRA, Christopher John akizungumza na katika kipindi cha Bambo la mtaa.
Kutazama kipindi kamili, tafadhali bofya link https://youtu.be/QyUB9LQQwzg
#tcratz #elimukwaumma #nirahisisana #klabuzakidijiti #lesenikidijitali #usalamamtandaoni #bambolamtaa #gsmr #reliyetumaendeleoyetu @tzrailways
👍
🙏
3