NMB Bank Plc
February 6, 2025 at 04:35 PM
Dodoma 📍
Tunaendelea kushirikiana na Serikali katika ukuaji wa sekta ya Afya nchini na kufanikisha hili, tumekabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh Milioni 20 kwa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili - Mirembe uliyojumuisha:
➡️ Mashuka
➡️ Vitanda
➡️ Mabenchi
Msaada huu umepokelewa na Mkurugenzi wa Hospitali hii, Dkt. Paul Lawala na uwakilishi wa benki umeongozwa na Meneja wetu wa Kanda ya Kati, Bi. Janeth Shango.
#nmbkaribuyako
❤️
👍
😢
🎉
🔥
😂
😮
🙏
13