NMB Bank Plc

NMB Bank Plc

276.7K subscribers

Verified Channel
NMB Bank Plc
NMB Bank Plc
February 8, 2025 at 12:08 PM
Dodoma 📍 Kama mdau wa maendeleo nchini, tumeshiriki hafla ya uwekaji saini mikataba ya kusimamia mikopo inayotokana na 10% ya mapato ya ndani ya Halmashauri nchini, ambayo hutolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu. Benki yetu itasimamia na kutoa mikopo kwa Halmashauri 6 ambazo ni: ➡️ Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ➡️ Halmashauri ya jiji la Dodoma ➡️ Halmashauri ya Manispaa ya Songea ➡️ Halmashauri ya Mji Newala ➡️ Halmashauri ya Wilaya ya Itilima ➡️ Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Zoezi hili limefanywa mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa aliyeambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi wengine wa Serikali. Uwakilishi wa benki umeongozwa na Mhazini wetu, Aziz Chacha, aliyeambatana na Mkuu wetu wa Biashara ya Serikali, Bi. Vicky Bishubo. #nmbkaribuyako
👍 😂 ❤️ 🙏 👏 😗 13

Comments